jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,173
- 42,839
Imewafanyaje?Sema NACTE na Wizara ya afya imejua kuwaanyoosha CO NTA level 6 watarajiwa
Wengi wamefeli na Supp kama uchafu aisee.Imewafanyaje?
Nimeona ila kuna vyuo vimepiga freshSema NACTE na Wizara ya afya imejua kuwaanyoosha CO NTA level 6 watarajiwa
Waliiba mtihani mafala waleNimeona ila kuna vyuo vimepiga fresh
Kwa mara ya pili au?.Waliiba mtihani mafala wale
Tatizo linakuja hizo sapp kufanya mpaka mwez wa8Wengi wamefeli na Supp kama uchafu aisee.
Daah! Hii ni hatari mno.Tatizo linakuja hizo sapp kufanya mpaka mwez wa8
Watarudishwa tu,,kuna mitihani mwezi march hapo nadhani watafanya na hao wa marchTatizo linakuja hizo sapp kufanya mpaka mwez wa8
Anhaa! Wale March intake awamu ya mwisho?.Watarudishwa tu,,kuna mitihani mwezi march hapo nadhani watafanya na hao wa march
Kwani mke si mwili mmoja..shida iko wapi..sema madogo wana kaa mwaka home..haipendezi.mkeo hataki mashemeji mawifi zake kwani shidann mwambie atulie aachana na mikwara au kwakua wadogo zake wameshaenda shule. Na bado umelipa gharama wewe..wazazi wanakuomba hela zakulimia hautaki kutoa eti familia kubwa.....
Imekuaje kwani.?Sema NACTE na Wizara ya afya imejua kuwaanyoosha CO NTA level 6 watarajiwa
Wametembeza SPANA za KIKATILI SANAImekuaje kwani.?
#MaendeleoHayanaChama
Wakuu habari
Mwaka jana mwishoni baraza la elimu ya ufundi..ilitoa waraka wakusitisha udahiri wa mwezi wa 3 kila mwaka..kwa sababu rukuki zisizo na mashiko.
Kimsingi uamuzi huu haulisaidii taifa hasa wazazi na vijana..wanaotamani kujiendeleze...unakuta mtoto kamaliza 4m4 mwezi wa10..asubiri kwenda kujiunga na masomo ya afya mwezi wa 10 mwaka unaofuta huu muda wote awepo tu nyumbani.
Hii si sawa..itapelekea kuibuka kwa mambo ya siyo natija katika jamii mwaka mzima mtoto kupoteza akiwa nyumbani ni hasara.
Hivyo basi tunaomba waziri wa elimu utusaidie katika hili..mana sababu za baraza zinaonyesha ni kutoshindwa kutereleza majukumu yao ya msingi.
Udahiri wa mwezi wa tatu urudishwe.
By mzazi mpenda elimu
Mungu ibariki Tanganyika
#MaendeleoHayanaChama
View attachment 2098972
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah..wamefanya vyema sana..vijana walikua wanakaa mtaaani muda mrefu sana.Mkuu March intake wameirudisha.Nimeona kwenye calenders yao ya important events for 2022/2023. Angalia kwenye tovuti yao.
Mkuu salute unafuatilia Sana.Yaah..wamefanya vyema sana..vijana walikua wanakaa mtaaani muda mrefu sana.
#MaendeleoHayanaChama View attachment 2286015