willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,083
- 1,326
Error! Provided Index/Registration and Examination/Graduation Year Names Mismatch with the names provided during registration, check the and try again (Code 4002)
Ninapata hio error nikiingiza namba yangu ya usajili na nikiclick continue application inanirudisha kuadd qualification yaan nimejaribu toka juzi nimekataa tamaa na simu wala email hawajibu kwetu mbali na Dar anayeweza kunisaidia aende office za nacte ananitatulie hilo tatizo nitampa ya hela ya usumbufu
Updates nimefanikiwa kuapply
Kama umemaliza 2016 nenda sehem scroll chini chagua mwaka wako haupo then itakuja page ujaze baada ya hapo continue with application itakuja sehem ya kuupload chet . Kwasababu hatujapewa nenda profile yako alafu shuka chini kuna continue application then itafunguka page yenye vyuo asante.thread closed