NACTE on Air!!!! lakin siwaelewi...

sasa hao waliokuwa selected wako wap mbona hawajatoa? kiukweli hawa nacte wanazingua wanatuonyeshaje nafasi zilizobaki kabla ya kutuonyesha watu waliokuwa selected?
Selection nacte zinafanyika through profile kama mm niliaply from march but juzi ndio nimekuta selected but chuo hawajanionesha
 
Aisee tusubiri tuone mkuu maana naona wanazingua hawa alaf vyuo kama dit na must vishaa jaa man yan kama wakisema ni ku reapply itakuwa ni kwere kichz man
 
Hakuna kitu kama hicho tusidanganyane mana wanaoview program zao capacity ya vyuo inaonesha 0 inamaana watu wameshachaguliwa ila nacte hawajarelease
 
Nying ambazo hazifunguki ni vizur mfuatilie Hilo tatizo LA kutokuview selection
 
Huyo aliyekua selected nahis ni wa diploma hakuna wa degree aliyepata selection
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…