mashishanga
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 611
- 429
Duuh ! Mbona ya kwangu haifiki huko hata hiyo option ya kuangalia chosen programmes siioni tangu jana inaniletea tu option mbili "Go to profile " na " Log out ". Kwangu kutakuwa na tatizo huendaMi mwenyewe nikiingia kwenye profile nakuta vyuo vyote wameniwekea kapacity zero kasoro chuo kimoja tu wameniwekea capacity 8 kwa muonekano huo tayar nacte wameshafanya selection afu Hakuna taarifa yeyote na hata ukiangalia waliochagua priority ya kwanza had ya tano namba zimepungua hivyo inaonesha wameshawachagua
Bado iko vilevile mkuu.Mi nimetoka kuangalia sa iv kila chuo nikicheki capacity 0 kasoro kimoja tu nimekuta capacity 8
Nikipiga namba zao hazipatikani. naweza kuwapataje tofauti na hapo.Jaribu kuomba Msaada mana ukiingia profile pale chin wameweka view programe afu go to profile afu log out
Duuuh!, Kwa walioomba juzi kati hapa baada ya 3.5 kushuka mpaka 3.0 inaweza ikawa system inazingua . Maana kuna jamaa mwingine kila nikimwangalizia account yake inaleta hivohivo mbaya zaidi GPA yake haionekani ukienda kuangalia NTAL6/Equivalent Qualification na Admission status yake kwenye item ya NTAL6/Equivalent Qualification ina recommend kuwa " WAITING FOR EVALUATION" kaapply tangu August.Kuwapata ngumu mana ata tukiwaandikia e mail hawajibu na ata cku za kaz tukipiga cm zao hawapokea au wakat mwingine wanaziweka busy
Ameupload chet na transcript tangiapo.Hapana kama aliapply toka august afu wanamwambia kwenye qualification wait for evalution yawezekana vyet vyake bado nacte havijaonekana mana transcript hua zinatolewa na Chuo na kupeleka nacte hivyo yawezekana hapo vyet vyake hawajaviona mana mwanzon waliandika wait for evaluation badae wakasema qualification found yan wamekiona nacte
Option haipo tokea jana.Je akiangalia view chosen programe capacity kwake wanasemaje