Hiyo ni sawa mkuu, lakin hebu jaribu kubonyeza hiyo sehemu ya kuview 'choosen program' halafu compare admission capacity zilizopo sasa na zile zilizo kuwepo wakati unafanya machaguo ya vyuo, halafu leta mraejeshoHapana Mkuu ukisoma kwa juu wanasema.PLEASE CHECK ADMISSION STATUS:
Congratulations! You have reached the end of admission application process, below is a summary of your application status.
Please review it and make follow up in the places which require your attention.
Mkuu unaangaliaje chosen programmes maana kwangu haileti hiyo optionHiyo ni sawa mkuu, lakin hebu jaribu kubonyeza hiyo sehemu ya kuview 'choosen program' halafu compare admission capacity zilizopo sasa na zile zilizo kuwepo wakati unafanya machaguo ya vyuo, halafu leta mraejesho
Ilikuwa hivyo hata kwangu mkuu lakin sasa hivi inafunguka na ninafika mpaka kwenye view choosen program lakin ndo napigwa na mshangao kuona profile inaonekana hivyo kwenye screenshoti hapo juu baadhi ya hakuna capacity na baadhi ya vyuo zimepunguzwaAisee profile yangu hata kuangalia programme nilizochagua haileti option kabisa tangu asubuhi halafu mara kwa mara inakuwa inaniandikia system is currently running for selection come back later , halafu baada ya muda inafunguka lakini programe nilizochagua sizioni kabisa.
Linaweza kuwa tatizo la kiufundi? Au ndo changa la machoIlikuwa hivyo hata kwangu mkuu lakin sasa hivi inafunguka na ninafika mpaka kwenye view choosen program lakin ndo napigwa na mshangao kuona profile inaonekana hivyo kwenye screenshoti hapo juu baadhi ya hakuna capacity na baadhi ya vyuo zimepunguzwa
baada ya kulogin tu mkuu nakutana na hiyo option lakin jana haikuwepo mkuu kulikuwa na log out na go to profile sasa hata sielew kwa nin tupo tofauti mkuuMkuu unaangaliaje chosen programmes maana kwangu haileti hiyo option
Wanatuchanganya sana Daah!, Hivi ukijaribu kufanya marekebisho ya machaguo yaani kureset machaguo na kuyapanga upya inaweza kuathiri chochote?Kama tumeshapigwa chin c waseme tu watu tufanye shughuri nyingine na siyo kutupotezea muda kama hiv
itakukostiWanatuchanganya sana Daah!, Hivi ukijaribu kufanya marekebisho ya machaguo yaani kureset machaguo na kuyapanga upya inaweza kuathiri chochote?
Hiyo option ya kurekebisha machaguo haipo tena mkuu imeshaondolewaWanatuchanganya sana Daah!, Hivi ukijaribu kufanya marekebisho ya machaguo yaani kureset machaguo na kuyapanga upya inaweza kuathiri chochote?
hapo ina maana kuna watu wameishakuwa selected kwenda ivyo vyuo na iyo capacity unayo iona ni nafasi zilizobaki kwa kozi huska hivyo usiofuHiyo ni sawa mkuu, lakin hebu jaribu kubonyeza hiyo sehemu ya kuview 'choosen program' halafu compare admission capacity zilizopo sasa na zile zilizo kuwepo wakati unafanya machaguo ya vyuo, halafu leta mraejesho
hakuna tatizo la kiufundi ukiona zero basi ujue nafasi icho chuo kwa iyo kozi zimejaa tayari izo zinazoonekana kupungua ni kwamba ndio nafasi zilizobakiLinaweza kuwa tatizo la kiufundi? Au ndo changa la macho
Una maana gan. mkuuSelection imeshaanza
sasa hao waliokuwa selected wako wap mbona hawajatoa? kiukweli hawa nacte wanazingua wanatuonyeshaje nafasi zilizobaki kabla ya kutuonyesha watu waliokuwa selected?hakuna tatizo la kiufundi ukiona zero basi ujue nafasi icho chuo kwa iyo kozi zimejaa tayari izo zinazoonekana kupungua ni kwamba ndio nafasi zilizobaki
we acha tusasa hao waliokuwa selected wako wap mbona hawajatoa? kiukweli hawa nacte wanazingua wanatuonyeshaje nafasi zilizobaki kabla ya kutuonyesha watu waliokuwa selected?
Anamaanisha nn hapo tusaidiane yangu ipo hivyo piaHapana Mkuu ukisoma kwa juu wanasema.PLEASE CHECK ADMISSION STATUS:
Congratulations! You have reached the end of admission application process, below is a summary of your application status.
Please review it and make follow up in the places which require your attention.
ndugu ndivyo ilivyo binafsi nili apply mwaka jana na tena kwetu ilikuwa ikitokea adi vyuo vyote mtu anaona capacity Ni zero iyo aina maana utachaguliwa au ujachaguliwa unaweza kuwemo ndani ya hao waliokuwa selected ila awawez kutoa majina mpaka siku ya mwisho ya maombi na nyongeza kadili unavyozidi kuangalia kila utangundua inazidi pungua usiwe na ofu nami mwaka jana ilikuwa ivyo mwisho wa siku nikawa selected nipo chuo usiofusasa hao waliokuwa selected wako wap mbona hawajatoa? kiukweli hawa nacte wanazingua wanatuonyeshaje nafasi zilizobaki kabla ya kutuonyesha watu waliokuwa selected?