NACTE/NECTA

NACTE/NECTA

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,637
Reaction score
3,835
Certificates from foreign examination bodies for Ordinary or Advanced level education should be verified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA) and National Council for Technical Education (NACTE);

Wakuu nimeona hiyo kitu hapo juu katka pitapita yangu ya job application. Hizi certificates za O and A level wana verify vipi wakuu. Mi niljua ni vya chuo tu.
 
Kama kuna mtu ana experience na hii wakuu
 
Kama umesoma sekondari nje ya Nchi yetu baada ya kutunukiwa hivyo vyeti unavipeleka kwenye hayo mabalaza kwa uthibitisho baada ya verification unapewa kicheti fulani cha uthibitisho ama Namba ya verification, ila kunakuwa na malipo ila si makubwa.
 
Ok poa mkuu
 
Du
 
Back
Top Bottom