Mimi upande wangu naona tusubiri majina watatoa tu na si kwamba awajui vyuo vinafunguliwa wanafahamu wanafavya hivyo pengine baada ya kutoa selection kusiwepo malalamiko mengi na wengine kujikuta wakiingia kulipia transfer baada ya kukosa chuo na course walizopenda ndio maana wanachukua mda mrefu kutoa majibu ila chuo lazima kwenda