Vumilia tu.....usithubutu kufuta, hapo unaweza kuchaguliwa hapo! Yakitokea mabadiliko yoyote usiyo yaelewa bora uwafuate kama changes ukafanyie huko!!!!
Vumilia tu.....usithubutu kufuta, hapo unaweza kuchaguliwa hapo! Yakitokea mabadiliko yoyote usiyo yaelewa bora uwafuate kama changes ukafanyie huko!!!!
Vumilia tu.....usithubutu
kufuta, hapo unaweza kuchaguliwa hapo! Yakitokea mabadiliko yoyote usiyo
yaelewa bora uwafuate kama changes ukafanyie huko!!!!
Hamna haja ya kuwafuata maelekezo yote yako hapo mbona kama inaonesha eligible na capacity 0 chini yake kuna maelezo ya nini cha kufanya reset uchague upya unavyojichelewesha ndio chance ya kupata nayo inapoteo. kule utaenda uza sura tu.