Sijasoma hicho chuo ila sidhani kama ndivyo kinavyotakiwa kufanya kazi pia sikupitia NACTE hata hivyo sidhani kama kupitia huko au kwenda huko chuo ndiyo inabidi kikutafute.
Ukishajua kama umechaguliwa wewe mwenyewe unaenda hicho chuo ofisi ya msajili huko ndiyo mtawekana sawa kwa kila kitu ukifika omba almanac uitumie kwa faida zaidi.