James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Habari zenu wadau wa jamii forum,
Napenda kuleta mada hii ili iwe masaada kwangu na kwa wengine watakaokuwa na tatizo kama langu,
Mimi ni mmoja ya vijana walio apply kujiunga na chuo kwa mwaka huu kupitia nacte.Kitu kikubwa cha kusghangaza mpaka sasaNacte hawajatoa jina langu kwenda chuo chochote na naona siku zinazidi kusonga,nimejaribu kuangalia profile yanga bado iko vile vile,haijabadilika.napata mawazo sana.JE NIENDELEE KUSUBILI?JE NI HATUA GANI NIFANYE maana mpaka sasa siku zimesonga sana?Msaada tafadhari.

nacte ni Wase.nge cuma nina zao. very incompetent.
Hatimaye nimechaguliwa na nacte...baada yakuchukua ushaur wenu wadau na kuufanyia kazi