NACTE iwe na mitihani kama NECTA

MAWAZO yako mazuri sana ningekuwa Mimi hawa watu wa nacte wasinge sajiliwa vyuo vikuuu ni ubabaishaji tu na siasa tupu
 
waulizeni wanaosoma diploma na certificate saiv wawaambie kinachoendelea kuhusu hiyo mitihani, watu wameanza semester bila matokeo sasa unategemea yakitoka Alafu umwambie mtu arudie mwaka au ame disquilfie atakuelewa na hapo ashasoma na semester inakaribia kufika mwisho?
 
ayo matatizo yako kwa kila chuo na ni kama changamoto tu
had universities ayo mambo yapo kuchelewa kutoka kwa matokeo
 
Diploma ndo inazaraulika kiasi icho jamani.
diploma haizalauriki,tatizo ni ujanja uloingia hv krbn kwenye huu mfumo wa dip, mfn, nliskia pale chuo cha ubungo maji kn wkt walikua wanatoa foundation course kwa form 4 aliyepelewa marks, af baadae asomee uandisi wa maji. diploma inahitajka sn lkn syo hz za ujanja ujanja.
 
Kiongozi maneno yako ni sawa but about institute exams from nacte umeenda chaka,1 vyuo ni vingi na fani zinazotolewa ni tofauti, 2 jiulize ni ghalama gani zitatumika adi kuandaa hyo mitihani ya vyuo vyote some times unakuta kwenye coz moja wanafunzi ni watatu au kumi angalia hyo ratio then compare, kuna baadhi ya colleges zinafanya same exams hii nikulingana na ufanano wa fani na mitahala kuwa sawa so kuhusu mitihan hlo suala linahitaji zaidi uchunguzi na ufatiliàji wa hali ya juu
 
Kk nakubaliana na ww asilimia 100% kuna haja yakutunga common exam kwa vyuo HV vya kat kuna ujanja mwing sanaaa nishawah fundishaa huko
 
Acha uongo we upate div 1 uende certificate? Aliyekushaur nan huyo au uliahidiwa kaz
 
Acha uongo we upate div 1 uende certificate? Aliyekushaur nan huyo au uliahidiwa kaz
nilimaliza 2008 na nikachaguliwa na govt coz top three sikuweka shule za advance
hapo utajua mm sikuamliza kpind cha gpa za akina mulugo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…