Laiti ungelijua Chuo nilichosoma nadhani usingeliandika huu utumbo wako! "Nimesoma |HomeOfEngineers|DIT"Aisee wewe inaonekana ulikuwa mvivu darasani, lakini pia kama ndiyo uko cheti au foundation maana naona unaogopa mtihani wa pamoja. Sasa kwanini uogope wakati kwa sekondari imewezekana, kumbuka mwanafunzi wa shule ya kata isiyo na waalimu wa sayansi au waalimu wa kutosha wanafanya mtihani moja na wale wa Tusiime, marian, feza nk kwanini wewe unayechukua cheti hombolo usifanye mtihani moja na wa magogoni au cbe? Naona unafurahia sana kubebwa kwa wanafunzi jinsi inavyofanyika hivi sasa kwenye hivyo vyuo vyenu.
Kama hii ndio hoja yako ya kutaka kuwe na mtihani wa pamoja basi inabidi hata TCU wawe na mtihani wa pamoja!watoke nje waone hii elimu ya kati inavyonunuliwa kwa hela na wanafunza kwa kike kuvuliwa bikini zao. Yaani ni balaa tupu hii elimu inahitaji usimamizi wa hali ya juu kama NECTA tu la sivyo wanafunzi waonwatapenya hivi mpaka wawe degree, masters na PhD za hovyo bila kuwa na kitu kichwani.
Jifunze kuandika vizuri basi ili tukuelewe we mwandisi au ndo kusema unajua sana hesabu kuliko maandishi,punguza kuweka vikoromboizo vya watoto wa digital katika uzi wako,nikirudi kwenye mada tofautisha FTC na mifumo mingine ya kusoma kupitia vyuo vingine hivi ambapo wengi wanaanzia vyeti kigezo ikiwa ni kuwa na D 4 katika matokeo ya kidato cha 4.tafuta cv yake usome alafu uje tena
usiwe unaongea tu
nikuulze tena diploma na form6 wakiwa ktk coz moja chuo wakadisco mwaka wa kwanza au wapili
je wakilud mtaan nani atakufa njaa?
kwa hayo maswali niliyojupa sample zake ninazo zaid ya tano as good research just want to be
alaf nan aliyekwambia anayepitia diploma ameferi olevel?
mm nmetoka na dv one na ckuona haja ya kupitia alevel
so usikalilil dogo wakat nchi km german uk china usa wamewejza mno ktk vyuo vya elimu ya kat ktk kuzalisha watendaj na technolojia ya hali ya juu
digrii co mtendaj hata kdgo hasa hz fan zetu za engineering wanajua theory tu but ualisia hawba
nmeptia dit kuanzia diploma to digrii
sasa nikujuze tu au nikuibie sili ktk company nifanyayo kaz wakiitaj watu wa digrii weng wachukuliwao ni wale walioptia dploma coz ndo wanaojua kaz kiualisia
kwan hakuna kampuny inayotaka mfanyakaz butu
weng walioptia 6 wanaongea sana but ukimpa project aifanye yeye km yeye hamna kitu shingai coz wameandaliwa kinadhalia ili waweviongoz ktk taaluma husika
swali linakuja utamuongoza vp mtu ikiiwa kaz uijui kuifanya kwa ualisia? pia ninayosample hii na experience coz nishawai simamia usahili na good performance ikiwaendea wale walioptia diploma hasa dit,must, atc , nit nk
pia nilishuhudia max zikienda kwa mtu wa dit baada ya kupambana na mtu wa coet(udsm)
hv vitu nilisimamia mm na ving boss wang
so usiongee dogo kwanza malza chuo alaf njoo interviwe sio unasoma mikalatas na kukalili ili ufaulu ukajiona mkali tunatka ulichonacho kichwan
over