kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
Kama ni kweli ni majibu yenye mshaka , msomi wa aina ya bana anatakiwa kutoa majibu yenye uhakika na si ya ku guess . Hatuwezi kuwa na wasomi wanaguess kauli badala ya kusikiliza ,kuelewa ,kutafakari na kisha kutoa majibu sahihi.(Kama ) ni kwel. Sasa ultaka Dr bana asubr nn majbu alyotoa yuko sahh umetumwa ww
Kuna vyuo ambavyo Nacte wanawatungia mitihani na vingine vinafanya yake. Hivi vyuo ni tofauti na university maana kwao wanaangalia skills. Hivyo ni ufinyu wa mawazo iwapo mtu alieanzia katika CBET kwenda KBET.
Kwanza Nacte ni wababaishaji tu! ni taasisi iliyokaa kisiasa! Wanakula hela za watu alafu hakuna kinachofanyika cha maana.
1. Zile hela wanazokusanya toka vyuo vyote zinafanya kazi gani?
2. Nani anawafanyia auditing kwa mambo yao yote?
3. Utaratibu wa kiutendaji kazi wao ni wa ubabaishaji .. mtu anaomba kusoma kusoma kozi fulani .. analipa hela .. majibu hawamtumii .. kila akiingia kwenye mtandao wao unakuwa very slow... nani wa kuwaadabisha?
Kwa sasa elimu sio makaratasi; elimu ni kile kilichopo kwenye ubongo wa mtu! Haya makaratasi wanayopewa toka kwenye vyuo ni majanga matupu!watoke nje waone hii elimu ya kati inavyonunuliwa kwa hela na wanafunza kwa kike kuvuliwa bikini zao. Yaani ni balaa tupu hii elimu inahitaji usimamizi wa hali ya juu kama NECTA tu la sivyo wanafunzi waonwatapenya hivi mpaka wawe degree, masters na PhD za hovyo bila kuwa na kitu kichwani.
Naomba unisamehe kuchangia uzi wako maana inaonyesha hujui ulitendalo na hujui tofauti kati ya aina hizi mbili za elimu. Ukitaka kuelimishwa uliza ila kama ni ubishi, bye!Lazima tuwe na mtihani moja kupima hiyo competency kama NECTA wanavyopima knowledge kwa wanafunzi wa sekondari kwa mtihani moja. Tukisema kila mtu adefine competency hatutafika, utajuaje wale cheti wa MU wako competent kusoma degree na wale cheti wa magogoni hawako competent?
Naomba unisamehe kuchangia uzi wako maana inaonyesha hujui ulitendalo na hujui tofauti kati ya aina hizi mbili za elimu. Ukitaka kuelimishwa uliza ila kama ni ubishi, bye!
kuwavutia wanawambia njoo ujiunge uende chuo kikuu! yaan ukishafanyiwa usajil tu hkn kufel, km uliingia na D zako 4 unatoka na first class ya 4.8.
Naamini wewe ni mwanafunzi!Usisubiri mimi nikuombe unielimishe kama una cha kunielimisha wewe toa elimu kwangu na kwa wengine. Mimi uzi wangu umetokana na experience ya kutosha katika hii field ya elimu ya kati, kuna maovu yasiyopimika, inatolewa chini ya viwango na hata wanafunzi wanaoenda vyuo vikuu wakitokea diploma huwa ni hafifu sana. wewe fikiria mtu anatoka advance alikosoma HGE anaenda kuoma BAF pale mzumbe anakutana na mtu aliyesoma diploma ya Accounts CBE,TPSC nk halafu huyu wa form six anafanya vzr kutoka mwanzo hadi mwisho kumzidi aliyesoma diploma wakati def ya accounts anaenda kuikutia mwaka wa kwanza. Hoja yangu ya pili ni kwamba kama syllabus ni moja nchi nzima still NACTE wanaweza kuwa na mtihani moja standard kwa vyuo hivi, PSPTB na NBAA wameweza kwani wao hawapimi competency?. Ukijifanya kuja na CBET NA KBET ukidhani ni maneno mageni basi pole maana jua unaongea na mwanataaluma.
Naamini wewe ni mwanafunzi!
Uwe unafikiri na kutafakari kile ufikiriacho!!; Kiunagaubaga nikuambie hivi Watanzania hatuko tayari kurudi huko nyuma tulikotoka! NACTE walikuwa na FTC maana yake walikuwa wanafanya hayo mwandishi aliyoyasema na kwa sasa hivi ni Diploma yaani Chuo wanatunga na kusahihisha mitahani zao tena kwa gharama zao wenyewe!ww jamaa una mawazo mzr, eb tafuta e-mail ya wzr uwatumie huu ujumbe utamfkia mheshimiwa.
Uwe unafikiri na kutafakari kile ufikiriacho!!; Kiunagaubaga nikuambie hivi Watanzania hatuko tayari kurudi huko nyuma tulikotoka! NACTE walikuwa na FTC maana yake walikuwa wanafanya hayo mwandishi aliyoyasema na kwa sasa hivi ni Diploma yaani Chuo wanatunga na kusahihisha mitahani zao tena kwa gharama zao wenyewe!
Kwenye "Mitihani ya pamoja tulishatoka tena kwa maumivu makali sana"! Narudia kusema hivi Watanzania hatuko tayari kurudi kule tuliko toka ni bora tubuni njia nyingine sahihi ambayo tunaamini itatufikisha!Wewe badala uishauri NACTE namna nzuri ya kuendesha hivi vyuo kama NECTA walivyoweza unaleta bla bla, kwanini washindwe ilhali hivi vyuo ni vichache kuliko sekondari nchini. Halafu wewe huangalii hasara nchi inayopata kuzalisha watu wasio na uelewa juu ya waliyoyasomea. Vyuo hivi vimegeuza elimu biashara, mwanafunzi anamaliza diploma na GPA ya 3.5 ila kiuhalisia hakupata hivyo, wanaongezewa ili wafikie alama zinazotakiwa na TCU kujiunga vyuo vikuu. Lini umeona mwanafunzi wa form six akaongezewa marks ili zifikie zinazotakiwa na TCU?. TUKITAKA MABADILIKO LAZIMA TUKUBALI KUUMIA MABADILIKO SI MCHEZO.
mbona coz za ualimu( certficate na diploma) wamerudisha NECTA so inawezekana...acha kuiogopa itakufanya uwe na elimu bora.Kwenye "Mitihani ya pamoja tulishatoka tena kwa maumivu makali sana"! Narudia kusema hivi Watanzania hatuko tayari kurudi kule tuliko toka ni bora tubuni njia nyingine sahihi ambayo tunaamini itatufikisha!
Kwenye "Mitihani ya pamoja tulishatoka tena kwa maumivu makali sana"! Narudia kusema hivi Watanzania hatuko tayari kurudi kule tuliko toka ni bora tubuni njia nyingine sahihi ambayo tunaamini itatufikisha!