NACTE hawaongezi muda wa application?

NACTE hawaongezi muda wa application?

!
!
Aisee hawa wajamaa wako kwenye uhakiki wa vyuo vyao. Nadhani wakimaliza watayaanika. Kwa sasa wapo nyanda za juu Kusini.
 
Ivi nacte hawaongez mda wa application [emoji310] [emoji310] ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi waongeze muda tuu .hakuna namna maana ni wengi sana bado awajafanikiwa kupata award kuwezesha kujiunga na vyuo .au vinginevyo itakuwa ni hujuma kubwa sana kuwahi kufanywa na tahasisi ya serikali toka tupate Uhuru .aiwezikani unapotezea watu Mwaka mzima bure tuu hivi hivi .
 
Kweli asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom