NACTE Guide Book 2015/16 for Teachers Education Programme

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,020
Reaction score
134,226
Nimezama web ya NACTE naona haifunguki, mwenye nayo please naomba atupie attachment hapa,Asanteni kwa kuja na kutoa msaada
 
washenzi sana! hawajaweka guide book
 
hivi hawa nacte kitengo cha IT hawaoni kuwa hawajaingiza database za wanafunzi waliomaliza mwaka 2015??? au mwaka huu wanataka wasiende vyuoniiiiiiiii?
 
NACTE!!!!! je hivi hamuoni hata aibu kwa mbali?
 
Wameweka lkn ni ya mwaka jana
Mkuu tusaidie na sisi tujue hivyo vigezo,maana kila nikijaribu kufungua inagoma sijui tatizo ni nini,kuna dogo ana div.4 points 27 vipi anaweza kuomba certificate ya primary education?
 
quide book 2015/2016 ninayo najaribu ku upload hapa inagoma... sasa labda unitumie email yako nikutumie sasa hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…