Habari wanajf,
Ni hivi karibuni NACTE wametoa selection kwa wale walioomba awamu ya pili diploma studies. Lakini katika taarifa zinazoonekana kwenye profile za baadhi ya watu, kuna mkanganyiko kidogo. Kuna ambao wameambiwa wamechaguliwa lakini hawaoni wamechaguliwa chuo gani. Kuna waliochaguliwa na kuambiwa ni chuo gani lakini bado wanaambiwa confirmation statusπending. NACTE
Hawaoni kama selection hizi hazijakamilika bado? Mambo haya inabidi tuyaulize huku kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu hakuna njia ya kuwasiliana nao. Namba za simu hazipokelewi, email hazijibiwi