NACTE APPLICANTS 2019/2020 (WhatsApp group)

NACTE APPLICANTS 2019/2020 (WhatsApp group)

Alexander McQueen

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
186
Reaction score
41
Habari wapendwa naitwa Andrew ningependa kupendekeza wazo Kwa wale wote walio Na wanaotalajia kufanya application online through NACTE tutengeneze group WhatsApp ili tupeane idea juu ya vyuo mbali mbali vya kuomba Na cozi admin 0765-680114 Nicheki DM (direct message) Kwa kutuma neno NACTE
 
Huenda umenunua smartphone Jana Mkuu,hivi kweli waombaji zaidi ya kaki mbili watatosha kwenye hako kagroup kako ka watu miambili,au na wewe unaona fahari kuitwa admin? Wazo LA kipuuzi sana hili.
 
Huenda umenunua smartphone Jana Mkuu,hivi kweli waombaji zaidi ya kaki mbili watatosha kwenye hako kagroup kako ka watu miambili,au na wewe unaona fahari kuitwa admin? Wazo LA kipuuzi sana hili.
Ndio maana hujui hata kiswahili mzee baba kaki mbili ndio nini au unamaanisha sale za chadema
 
Tengeneza Group telegram ndio mtakutana wengi huko

ushauri tu sio lazima
 
Mpeane idea juu ya vyuo na kozi, sio? Kwamba hamjui mnachotaka kufanya?

Mtaa unawasubiri uwape discipline.
 
Back
Top Bottom