Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,119
- 4,156
Hayo ni mambo unatakiwa uyaelewe ukiwa na miaka 15 tu alafu upambane kama now ndio unastuka basi endelea kusindikiza wanaoishi dunianiUmasikini mbaya sana nimekulia kwenye umasikini uswahilini ambako wizi, uchawi, umbea, uvivu, umalaya, uhalifu roho mbaya, chuki n.k ni vitu vya kawaida sana. Huko shule si kipaumbele na watu wanaamini mtoto akiwa hana akili hata akienda shule ni kazi bure, wanaamini utajiri ni bahati na uchawi kwa mtu ambaye hajawahi kuishi huko anaweza kupata shida sana.
Lakini Sisi tuliozaliwa huko tuliona ni maisha mazuri na tumepewa na Mungu na yeye ndiye apangaye nani ampe ushua nani asimpe.
Baada ya kutembea na kupata exposure nchi mbali mbali na mikoa tofauti nimekuja kugundua kuwa Umasikini ni kitu kibaya sana ambacho natakiwa kukikataa kwa namna yoyote ile, tangu nimearealize hilo naitumikisha akili na mwili wangu kwa bidii sana ili kizazi changu kijacho kisionje ladha ya umasikini.
Pia umasikini sio sifa hakuna raha yoyote ya kuwa masikini au mnyonge, hakuna raha yoyote ya kuchukia matajiri na kuona kuwa ni wachawi, hakuna raha yoyote kwenye kukosa huduma nzuri za afya, makazi mazuri na kukosa pesa.
Inawezekana ni kweli Pesa hainunui furaha lakini Umasikini unanunua nini ndugu zangu?
Tuukatae umasikini.
Umasikini ni nini ?Umasikini mbaya sana nimekulia kwenye umasikini uswahilini ambako wizi, uchawi, umbea, uvivu, umalaya, uhalifu roho mbaya, chuki n.k ni vitu vya kawaida sana.
Ni vita mkuuDah umasikini ni hatari actually siupendi pia
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Umasikini unaambatana sana na hivyo vitu ili ulielewe lazima uwe umewahi kuishi maisha ya kimasikini.Umasikini ni nini ?
Je umasikini ni kama unavyodhani :-wizi, uchawi, umbea, uvivu, umalaya, uhalifu roho mbaya, chuki n.k ni vitu vya kawaida sana.
Unadhani masikini hata ana muda wa kupiga umbea; nadhani unachotaka kukitibu huenda sicho ambacho unadhani ndicho.......
Uhusiano kati ya Umasikini, Utajiri, Uvivu na Werevu
Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata uwindaji huenda ulihitaji ujuzi zaidi kuliko uchapakazi); Pia huenda kipindi hicho mtu alikuwa na...www.jamiiforums.com
FarajaInawezekana ni kweli Pesa hainunui furaha lakini Umasikini unanunua nini ndugu zangu?
Uko sahihi lakini its never too late mkuuHayo ni mambo unatakiwa uyaelewe ukiwa na miaka 15 tu alafu upambane kama now ndio unastuka basi endelea kusindikiza wanaoishi duniani
Wanaopenda kutukana pia tuliishi nao kwenye umasikiniUmaskini ni mentality fala wee.
That makes all of usSiupendi umaskini
may beFaraja
It's never too late kama unamipango na una connection zenye kufanya utoke level ya chini upande juu. Kuna watu wanajua nn cha kufanya ila hawana miundombinu na hawataki au hawana watu wa maana kuwatoa sehemu moja kwenda nyingineUko sahihi lakini its never too late mkuu
Si wapo ambao wame himarisha umaskini kwa kuona kwamba hili life ni kula , kunywa na kuzaa,,,Ili imradi basic needs anazipata but no development! Au wewe umebase umaskini upi kwenye kupata basic needs only?? Au basic needs + development??Umasikini mbaya sana nimekulia kwenye umasikini uswahilini ambako wizi, uchawi, umbea, uvivu, umalaya, uhalifu roho mbaya, chuki n.k ni vitu vya kawaida sana. Huko shule si kipaumbele na watu wanaamini mtoto akiwa hana akili hata akienda shule ni kazi bure, wanaamini utajiri ni bahati na uchawi kwa mtu ambaye hajawahi kuishi huko anaweza kupata shida sana.
Lakini Sisi tuliozaliwa huko tuliona ni maisha mazuri na tumepewa na Mungu na yeye ndiye apangaye nani ampe ushua nani asimpe.
Baada ya kutembea na kupata exposure nchi mbali mbali na mikoa tofauti nimekuja kugundua kuwa Umasikini ni kitu kibaya sana ambacho natakiwa kukikataa kwa namna yoyote ile, tangu nimearealize hilo naitumikisha akili na mwili wangu kwa bidii sana ili kizazi changu kijacho kisionje ladha ya umasikini.
Pia umasikini sio sifa hakuna raha yoyote ya kuwa masikini au mnyonge, hakuna raha yoyote ya kuchukia matajiri na kuona kuwa ni wachawi, hakuna raha yoyote kwenye kukosa huduma nzuri za afya, makazi mazuri na kukosa pesa.
Inawezekana ni kweli Pesa hainunui furaha lakini Umasikini unanunua nini ndugu zangu?
Tuukatae umasikini.
Mkuu naamini ukiwa unajua nini cha kufanya kinachokosekana ni opportunity ambayo utaipata tu no matter what huwezi kuwa sawa na mtu ambaye hafanyi loloteIt's never too late kama unamipango na una connection zenye kufanya utoke level ya chini upande juu. Kuna watu wanajua nn cha kufanya ila hawana miundombinu na hawataki au hawana watu wa maana kuwatoa sehemu moja kwenda nyingine
acha kupotosha watu, hata karim mandonga amepata afueni umri umesogea cha msingi mleta mada pambana. achana na virandageHayo ni mambo unatakiwa uyaelewe ukiwa na miaka 15 tu alafu upambane kama now ndio unastuka basi endelea kusindikiza wanaoishi duniani
Utajiri unaanzia kiasi gani; kwamba Umasikini ni Wizi (Matajiri sio Wezi)? Umbea (wenye pesa sio gossipers); Kwamba ukiwa mchawi ukipata pesa unaacha uchawi ?Umasikini unaambatana sana na hivyo vitu ili ulielewe lazima uwe umewahi kuishi maisha ya kimasikini.
uko sahihi kaka kunawatu tuna mitaji Lakini tumekosa connectionIt's never too late kama unamipango na una connection zenye kufanya utoke level ya chini upande juu. Kuna watu wanajua nn cha kufanya ila hawana miundombinu na hawataki au hawana watu wa maana kuwatoa sehemu moja kwenda nyingine