Nachukia msichana unaanza kumtongoza kwa maneno laini ukijua mstaarabu kumbe..

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,035
15,538
Wanajamvi,

Hii nimeona niilete kwenu maana ni kwa muda mrefu nimekuwa nawatokea wasichana hasa katika chating unaanza kwa kumtega tega huku una hofu hofu haichukui muda unaona bora tu toka pale mwanzo ungempa laivu tu bila chenga yaani mambo mubashara.

Maana mwisho wa siku unakuta ni mrahisi kuliko hata urojo wa Unguja na masela wanamega tu bila nguvu nyingi inaleta hasira sana, wiki 2 nzima unasaundisha kiuoga wa kuomba gemu huku watu wanakuovatek tit for tat inakera kweli siku hizi wanawake wa kuoa ni sawa na kukuta bikra leba.

Kama na wewe umeyaona usione aibu share hapa maana hauko mwenyewe.
 
Yo such a slow learner man.

Mimi sitongozi dem zaidi ya week nishajua uroda napewa au la. Dates mwisho 2 tu. Ukimfuga atakulia hela zako tu. Make it clear kama anataka hela na ww unataka K...

Au Revoir.
mazingira wanayojiweka ndio tatizo unaweza kujua mtoto wa kishua kumbe tandale kwa madale
 
Tatizo umempenda sana....! Labda uwaambie wanawake kuwa mara nyingine mwanaume akipenda sana huwa muoga hadi mwanamke anaweza kukuona domo zege, kumbe ndio kupenda sana...!
 
Yo such a slow learner man.

Mimi sitongozi dem zaidi ya week nishajua uroda napewa au la. Dates mwisho 2 tu. Ukimfuga atakulia hela zako tu. Make it clear kama anataka hela na ww unataka K...

Au Revoir.
we bado slow learner vilevile , watu tunahondomola first date ,
 
we bado slow learner vilevile , watu tunahondomola first date ,
Pole ila ongeza swaga za maneno maana huwa wanavutika na mneno zaidi kuliko chochote.!!
Yo such a slow learner man.

Mimi sitongozi dem zaidi ya week nishajua uroda napewa au la. Dates mwisho 2 tu. Ukimfuga atakulia hela zako tu. Make it clear kama anataka hela na ww unataka K...

Au Revoir.

Naona mnaonyeshana ujuzi na kumfundisha kijana
 
16122651_395048720828291_9022335518356013056_n.jpg
 
Back
Top Bottom