Nawasalimu wana jf Mu wazima humu.
Jamani wanajamvi mpenzi wangu simuelewi kabisa kwa sasa. Nahisi nasalitiwa waziwazi ila ushahidi tu ndo sina.
Nilichoamua kutaka kuidukua simu yake , liwalo na liwe.
NB ahsanteni kwa kunisikiliza
Je ulie nae saiv Nae unamdukua?Mi niliwahi kumdukua mtu sikuamini macho yangu.Nilikuta anatumia watu picha zake za uchi hadi wachungaji.
Je ulie nae saiv Nae unamdukua?
Vipi kuhusu yeye pia akiwa na mpango huo huo wa kudukua simu yako,itakuwa salama tuu ?Nawasalimu wana jf Mu wazima humu.
Jamani wanajamvi mpenzi wangu simuelewi kabisa kwa sasa. Nahisi nasalitiwa waziwazi ila ushahidi tu ndo sina.
Nilichoamua kutaka kuidukua simu yake , liwalo na liwe.
NB ahsanteni kwa kunisikiliza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Mkuu USIACHE kudukua..hiyo itakufanya uoe ukiwa unakaribisha 50..unatafuta binti wa Miaka 18 Safi kabisaSitaki tena kwanza sina mtu now
[emoji23]mawazo yako yamepokelewa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Mkuu USIACHE kudukua..hiyo itakufanya uoe ukiwa unakaribisha 50..unatafuta binti wa Miaka 18 Safi kabisa
Huyo mtu alishakuacha siku nyingi sana na sasa hivi ana mpenzi mwingine sasa unachokitafuta ni nini tena broo ?Nawasalimu wana jf Mu wazima humu.
Jamani wanajamvi mpenzi wangu simuelewi kabisa kwa sasa. Nahisi nasalitiwa waziwazi ila ushahidi tu ndo sina.
Nilichoamua kutaka kuidukua simu yake , liwalo na liwe.
NB ahsanteni kwa kunisikiliza