M Mkanganyiko Member Joined Feb 3, 2014 Posts 34 Reaction score 11 Jul 10, 2014 #1 Kuna taarifa kwamba kuna mauaji ya kutisha huko Nachingwea hadi kusababisha wanawake kuandamana kwenda kwa mkuu wa wilaya. Mwenye taarifa zaidi atuambie vizuri.
Kuna taarifa kwamba kuna mauaji ya kutisha huko Nachingwea hadi kusababisha wanawake kuandamana kwenda kwa mkuu wa wilaya. Mwenye taarifa zaidi atuambie vizuri.
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,734 Reaction score 5,249 Jul 10, 2014 #2 Kwa nini waandamane wanawake tu?
ROBERT MICHAEL JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 5,054 Reaction score 2,864 Jul 10, 2014 #3 Wamwera wamefikia hatua hiyo ya kuuana,Tanzania tumefika mbali sasa.