Nachezea kitovu niwapo usingizini, nitaachaje?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,390
Nikiwa usingizini nachezea kitovu bla kujijua. Saa nyingine nikiamka asubuh kitovu kinauma. Nifanye nini ili niache hii tabia?
 
Yaani tabia maradh aisee hiyo tabia inaonekana ulikuwa unayo toka utotoni jifunge kitu utaacha design ya mkanda pitisha kitovuni jifunze kulala kifudifudi km unamke itakuwa vyema atakudirect
 
Mtu yyte akija huku anahitaji misaada ya kiivo aanze kutuambia jinsia yake ndio tujue namna ya kumsaidia
 
Siku nyingine utaota umeziba tundu la panya mlangoni kwako ukiamka asubuhi kidole chako cha kati kimezama kny 0713 kabaaaaaaaang!
 
Back
Top Bottom