Nachepuka muda sio mrefu

Ndan ya box

Senior Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
159
Reaction score
44
asante FROLA MBASHA maana mumeo nilikuwa namtamni sana ss naona nafasi ya kuchepoka nae iko wazi kazi ni kwangu ss loo NDO UTAKAPOONA KUWA MUMEO NI HANDSOME LOO
 
sasa wewe si mwanaume?mbona unatutisha Yahee
 
sisi hatuna mengi ya kusema.muhimu usitusahau japo kwa picha. kwa kila tukio
 
[h=3]Mume wangu nakupenda ila joseph kanikuna[/h] Started by Ndan ya box, 18th June 2014 10:14
[h=3]Hatupendi kuwa na historia mbaya kuwa na wanaume weng ila inabidi[/h] Started by Ndan ya box, 5th June 2014 17:17
[h=3]Budget hapo baadae msaada[/h] Started by Ndan ya box, 4th June 2014 15:46

[h=3]Huu ni mtihani kwangu naomba ushauri[/h] Started by Ndan ya box, 3rd June 2014 12:20





 
hahahahahahaha tyta kama kawa nmekupenda sana maana uko makini,ila tambua sio yote maushaur yanakuwa yamenitokea mm aisee
 
asante FROLA MBASHA maana mumeo nilikuwa namtamni sana ss naona nafasi ya kuchepoka nae iko wazi kazi ni kwangu ss loo NDO UTAKAPOONA KUWA MUMEO NI HANDSOME LOO

Ni Pm nikuelekeze anapoishi sasa ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…