Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,781
- 20,955
Leo nimeamka na mood za kutosha kwakweli.....then nikapita kwenye app ya mdada mmoja maarufu aliyekuwa ameelezea namna ya kufanya kwenye mahusiano unapokuwa na mwanaume ili aone upendo wako na how deep you are ili uuwini moyo wake ... jumlisha na hizi mvua za masika plus mziki niliokuwa nasikiliza dahh nikajikuta nimevusha kidogo.... kwangu mimi yale aliyoongea sijui ya kukumbatiana na kukiss muda wote kwakweli yalikuwa marudio tu.....
Ukiwa na mtu hata kwa moment fupi halikisha hakusahau kamwe...hata kama ikilazimu kuachana asiweze kukutoa moyoni... tengeneza moments Unique...
Mungu amekupa mikono miguu mdomo ulimi, pumzi na viungo vingine vyote vitumieee asee... make your home au popote mnapokuwa pamoja kuwa paradise....
Kwakweli ukimpata mnayeelewana na kuendana chemistry na biology mapenzi ni matamu sana
Mimi ni muumini wa mapenzi yale ya kikorea kabisaaaa... uko sokoni nshakukuna kuna kichwa au mgongo.... ..unakula nshakulisha... nshakukiss basi tu burdan
Haya wale wa matusi leo mje na mapya...nshawaambia choose love over hate...