Teja 1 alikuwa anasikiliza mawaidha msikitini. Shekhe akauliza je, nabii gani alikuwa wa kwanza kuongea na wanyama?....... teja akanyoosha mkono na kujibu: nazani atakuwa nabii TAAZANI... wa2: lahaulah!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.