Kwa hiyo akisema hivi ndio anakuwa amethibitisha kuondoka?Kwenye tuzo asema kwamba anaumia future yake bila Yanga.
Na Mayele nae kapewa?Saido ntibanzokiza
Fair play
Kiungo bora
Ufungaji bora.
Kwenye kiungo bora wangempa Mzamiru tu, sema wanaocheza namba zile huwaga hawaonekani,ila jamaa msimu huu kakichafua sana pale kati.Saido ntibanzokiza
Fair play
Kiungo bora
Ufungaji bora.
Msimu ushaisha jipangeni Kwa msimu ujao!Saido ntibanzokiza
Fair play
Kiungo bora
Ufungaji bora.
Mapovu wakatulia tulii.Saido ntibanzokiza
Fair play
Kiungo bora
Ufungaji bora.
Ndio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli?🙄Ndyo amepewaaa![]()
Mayelee kapataNdio Mara ya kwanza naona dhawadi hii inatolewa kwa watu wawili. Hivi vigezo vya Fifa vimeshindwa kufuatwa kweli?
Hii dhawadi alistahili Saidoo tu