NABE Stage III

franklyhope

Member
Joined
May 30, 2013
Posts
20
Reaction score
2
Hi wapendwa JF.

Mi nilifanya vibaya form 4 kwa kupata 0. Nimekuwa na mawazo ya kureseat ila nimeshauriwa nifanye NABE na VETA wameniambia kuwa nikifanya hadi stage 3 nitaweza kujiunga chuo kati ya CBE, IFM, TIA kwa ngazi ya Diploma.

Naamini JF kuna watu wengi, naombeni mnipe uhakika wa hiki nilichoambiwa na VETA na kama kuna aliyefanya NABE na kufanikiwa kujiunga chuo hasa hivyo nilivyotajiwa nitashukuru.
 
hiyo ni kweli kabisa mi nimefanya mpaka stage two..........nabe iko poa
 
Yap ukifanikiwa kusoma NABE hadi stage fulan unakua somewhere,
 
hiyo ni kweli kabisa mi nimefanya mpaka stage two..........nabe iko poa
Mkuu,mm nimepata d 2 form 4 na nimepata cert yangu pale cbe ya procu&supply,sasa nataka kusoma nabe hli niweze kuhama chuo niende nikasome kitu ninachokitaka hapo unanishauri nn na natakiwa nisome hadi ngazi ipi?
 
kuna jamaa yangu yupo TIA saiv anasoma degree ya procurement ..alisoma Nabe baada ya kupata zero form four mwaka 2008 .....namba yake ya simu ninayo kama ukihitaji niPM nikupe ili umuulize
 
kuna jamaa yangu yupo TIA saiv anasoma degree ya procurement ..alisoma Nabe baada ya kupata zero form four mwaka 2008 .....namba yake ya simu ninayo kama ukihitaji niPM nikupe ili umuulize
Nahitaji hiyo namba yake nisaidie
 
NABE ni kitu gan jaman naomben ufafanuzii.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…