Nabana matumizi naona haitoshi inabidi niingize na ubahiri sasa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,699
149,927
Nimebana matumizi ila naona sasa kama haitoshi na sasa nimeanza kufanya "ubahiri" kwa kujinyima na hata kwanyima wanafamilia yangu mahitaji yao ya msingi au kwa kuwapa "kiduchu".

Wanangu tujifunge mikanda gorofa langu bado sana.

Kwaherini na usiku mwema.
 
Back
Top Bottom