Naanza vipi kumuomba msamaha huyu binti?

Naanza vipi kumuomba msamaha huyu binti?

Nipe namba zake nikusaidie kumweka sawa, akikukataa usione wivu endapo atanikubali !!
 
habari za sahivi jamani?
kuna binti tulikua na uhusiano nae na alikua ananipenda sana lkn me nikawa nampenda mtu mwingine asiyenipenda nikawa nampotezea huyu.mwishowe akachoka akaamua kufanya yake tu.so saivi najihisi kumpenda yeye.nitumie mbinu gani kumuomba msamaha ili arudishe moyo kwangu.nimpe maneno gan matamu wakuu?
Chato Airport ingekuwa imekamilika, ungempa offer ya Return Airticket ya Air Tanzania, aweze panda Bomba na dear na wetu [emoji574] [emoji574] ..... na pia apate fursa ya utalii wa ndani.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
habari za sahivi jamani?
kuna binti tulikua na uhusiano nae na alikua ananipenda sana lkn me nikawa nampenda mtu mwingine asiyenipenda nikawa nampotezea huyu.mwishowe akachoka akaamua kufanya yake tu.so saivi najihisi kumpenda yeye.nitumie mbinu gani kumuomba msamaha ili arudishe moyo kwangu.nimpe maneno gan matamu wakuu?
Mwambie nilikuwa nakupima kama utakata tamaa na mtihani wangu umeshinda mkiwa out peke yenu pazuri then mpongeze kwa kuwa na upendo wa kipekee
 
Mwambie nilikuwa nakupima kama utakata tamaa na mtihani wangu umeshinda mkiwa out peke yenu pazuri then mpongeze kwa kuwa na upendo wa kipekee
hivi magufuli alivyobana namna hii,kuna wenzetu mna balance cash za kuwapeleka watu out?
 
Kama kuna kosa kubwa watu wengi wanakosea ni kumpenda mtu asimpenda alafu yule anae wapenda hawampendi. Wanamfanyia vituko.
Kwa sasa itakuwa ni ngumu sana kumfanya arudishe mapenzi kwako.. kwa sababu ulimtesa sana wkt amekuzimikia. Lakin kama wampenda.. muonyeshe kwamba umechange.. usiavhe kumtumia vi sms vya kumjulia hali.. & kuwa karibu nae.
Ukiona aelekei jua ameshahamisha mapenz kwa mwingine.

(Lakin utakuwa umeshajifunza.. penda unapo pendwa...)
Ni kwelii....ilishawahi kunitokeaa nampenda kumbe yeye yupo busy na mwinginee baadaye huko alikopenda si kukabuumaa....ikabidi arudi kwangu mi mpoole nkamsamehe but moyoni sikuwa na Imani naye teeena.....kwa hiyo kukosa amani kukanifanya niendelee na maisha tangu 2013 hadi leo anantafuta....juzi kuamkia jana huyohuyo ananitext kunambiaa amegunduaa nlikuwa ni mtu wa pekee sana ila Ubwege wake umefanya anipotezee....Malipo ni hapa hapa Tanzaniaa.....
 
start to claim her, she spoiled yoh relationship then u ll b able t defend urself😎😎😎😎
 
Kiufupi moyo ukishatoka hapo kurudi ni ngumu we sepaaa tu tunapendaga mara moja tu.
 
Ni kwelii....ilishawahi kunitokeaa nampenda kumbe yeye yupo busy na mwinginee baadaye huko alikopenda si kukabuumaa....ikabidi arudi kwangu mi mpoole nkamsamehe but moyoni sikuwa na Imani naye teeena.....kwa hiyo kukosa amani kukanifanya niendelee na maisha tangu 2013 hadi leo anantafuta....juzi kuamkia jana huyohuyo ananitext kunambiaa amegunduaa nlikuwa ni mtu wa pekee sana ila Ubwege wake umefanya anipotezee....Malipo ni hapa hapa Tanzaniaa.....
Ndio kama hivyo. What goes around comes around. Watu itabid wajifunze sana
 
"....A good man apologizes for the mistakes he has done, a great man corrects them however some mistakes can not be corrected..."
 
VIP yule ulomuona ni malaika kakubwaga??? shame on you kwaiyo unafikiri bado anakusubiri wewe? huna aibu.
 
Huko yamekushinda unataka kurudia matapishi.tafuta mwingine tu.
 
Nipe kabila la hyo binti mkuu then ntakushauri la kumwambia na hatachomoa
 
Ingependezaa ukajaribu mbinu zako zika buma ndo ujee uombe ushauriii we kidume jambo dogo kama hili ukilishindwaaa kamuonee dactarii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom