samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,212
Kiukweli nikiangalia kasi ya kiutendaji ya Rais wetu Magufuli naanza kupata mashaka juu ya muenendo huu siku za usoni. Yafuatayo yamenifanya nianze kuwa na mashaka na kuhisi utaratibu unaendelea kama ulivyokuwa.
1. ZOEZI LA VIBALI KWA WAGENI, kuna kiza kimetanda juu ya tatizo lenyewe, inaonekana serikali haijui tatizo ni nini.
2. Ukusanyaji wa kodi bado ni tatizo, vyanzo viko vingi sio bandari pekee.
3. Vyombo vya dola bado vinafanya kazi kimazoea na hakuna utaratibu wowote ulioanza.
4. Bado wapumbavu wapo kwenye serikali na inaonekana Mh Magufuli huna cha kuwafanya, mwishowe utahujumiwa tu ukashindwa.
5. Suala la Elimu bure, bado hakuna njia yoyote ya kuboresha ubora, badala yake bora elimu, walimu maslahi yao yako vilevile na mambo yako kimya.
6.Hospitali sio Muhimbili pekee, mikoani huku hakuna hatua zozote zinazoendelea.
7. Bado rushwa zinaendelea na sio adui namba moja tena.
8. Hakuna hatua zozote ambazo kama taifa limechukua kuelekea kwenye kujitegemea.
9. Umeme bado mzaha unafanyika, refer Mwanza nk.
10. Mawaziri wako bado ubunifu zero.
11. Kujenga nchi sio kukusanya kodi tu.
12. Bado haujafanya chochote kufanya majeshi yetu hasa JWTZ kuwa productive.
13.Mifuko ya jamii bado inaendelea kunyonya wadau bila kuwanufaisha, wahindi na waarabu bado wanaendelea kuenjoy cake ya taifa.
14. Hakuna taratibu zozote zinazoonekana ambazo umeweka ili kuitoa Tanzania hapa badala yake tunashuhudia sinema kutoka kwako na vijana wako.
15. mpaka sasa wakuu wa mikoa,wilaya na wakurugenzi hakuna chekeche.
16. Sijaona mbinu zozote na mkakati kazi wa kuikwamua elimu yetu zaidi ya kelele za vijana wako kila kukicha..
MH MAGUFULI MZAHA HUU UKIENDELEA UTAISHIA KAMA WENGINE NA HAUTALETA MAAJABU TULIYOTEGEMEA NA UNAWEZA FAIL ZAIDI YA JK....