Naanza kuchukia mapenzi

Naanza kuchukia mapenzi

Allen E pyuza

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
8
Reaction score
1
mpenzi wangu ananiambia tuachane bila sababu na sijawahi hata kumwambia swala la kufanya mapenzi lakini basi tuu ananiambia tuachane bila kosa lolote nifanyeje maana nahisi kuchukia mapenzi
 
J e huyo ndio mpenzi wako wa kwanza?? Je kwani kila uhusiano baina ya mvulana na msichana uwe ndoa??? Kwani umeambiwa na mganga ya kwamba ukioana na huyo mchumba utakuwa tajiri?? Kwani umepata hasara ya shilingi ngapi kwa kumwacha?? Jaribu kutulia na kujibu hayo maswali, kisha utaona kama unayo sababu ya msingi ya kuchukia mapenzi.
 
yachukie tu,ni njia bora na sahihi ya kuepuka msongo wa mawazo onyo;punyeto ni hatari kwa afya yako.
 
Huyo amekuona kama joka la kibisa manake alishagegedwa sasa ameona wewe sio mgegedaji. Achana nae uendelee kuwa mtoto mzuri, huyo anaonekana ni "kicheche"..
Cc mzabzab
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi kama hakitaki haipendezi kumbembeleza, maana hatakua anakupenda kwa kusumbusumbua sana.
 
yachukie tu,ni njia bora na sahihi ya kuepuka msongo wa mawazo onyo; punyeto ni hatari kwa afya yako .

Punyeto ni nzuri kwa afya.Long Live CHAWAPUTA.
 
mpenzi wangu ananiambia tuachane bila sababu na sijawahi hata kumwambia swala la kufanya mapenzi lakini basi tuu ananiambia tuachane bila kosa lolote nifanyeje maana nahisi kuchukia mapenzi

Ni PM nikufundushe namna nzuri ya kuyachukia.
 
mpenzi wangu ananiambia tuachane bila sababu na sijawahi hata kumwambia swala la kufanya mapenzi lakini basi tuu ananiambia tuachane bila kosa lolote nifanyeje maana nahisi kuchukia mapenzi

kusoma hujui hata picha huioni...achana nae kwani kakuzaa.!
 
we ndio unaanza kuyachukia wakati mie nayachukia haya sitaki kusikia Pole
 
yachukie tu,ni njia bora na sahihi ya kuepuka msongo wa mawazo onyo;punyeto ni hatari kwa afya yako.

unapenda sana wanaume wapige nyeto wewe....au u get off watching a man masturbate
 
mpenzi wangu ananiambia tuachane bila sababu na sijawahi hata kumwambia swala la kufanya mapenzi lakini basi tuu ananiambia tuachane bila kosa lolote nifanyeje maana nahisi kuchukia mapenzi

haukuwa chaguo lake vilevile kunavitu alitarajia kutoka kwako akaona humpatii isitoshe hato doz ukawa humpati je angepona vp maradhi ya nye.... waliompa hiyo doz ndiyo DR wake kwa sasa au kuna mtu kamlisha sumu fulani kuhusu wewe na anaogopa kukuchana live
 
mie nimempa warning tu kama anayachukia mapenzi asifanye masturbation loh

hahaha wewe punyeto unaitajaga sana...wale wasiotaka kutoa pesa kupata papuchi nao unawaambia wapige puchu
 
loh ww kweli unanitafuta ugomvi hebu tafuta post zangu zote niambie kati ya hizo umekuta nimetaja punyeto mara ngapi kati ya ngapi,halafu tuendelee
 
mie mwenyewe uliniambia nikapige nyeto baada ya kukutongoza chemba
 
acha zako sijawahi kukwambia hivyo,au wataka nimwage mboga nilikwambia nn!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mpenzi wangu ananiambia tuachane bila sababu na sijawahi hata kumwambia swala la kufanya mapenzi lakini basi tuu ananiambia tuachane bila kosa lolote nifanyeje maana nahisi kuchukia mapenzi

kosa lipo hapo kwenye red.........
 
Back
Top Bottom