Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Ni maamuzi magumu lakini naomba niyafanye. Nimekuwa nikiandamwa sana na baadhi ya member wa hapa JF kuwa mimi ninachafua post nyingi humu ndani hasa jukwaa la jokes, watu wanaoniandama wengi wanitishia kunipiga bann ama kunitukana mpaka niwakome. Sasa nataka niwaonyeshe kwamba bann sio kitu kibaya kama umepigwa kwa sbb ya uonevu na wivu uliofanywa na member mwenzako.
Kwa uzi huu nawaomba modes ifikapo j3 12am mnipige bann ya siku mbili yaani 48 hrs, na mniachie j5 12am, lengo ni kutaka kuwaonyesha wanajamvi wanaonitishia bann na kuzuiwa kwa uhuru wangu wa kutoa maoni hapa JF wajue kuwa mimi siogopi bann. Asanteni na ninaomba kuwasilisha.