Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
hehehe, there you go again...kelele za mlango zinakusumbuaje wewe? meza piriton utalala tu. kama jambo halikuhusu lipotezee tu!
lakini ingekuwa wakristo. wangestakiwa kwa sheha.
wanapiga kelele.
si mnaonaga kama mtu anauza kanda za mimbo za dini vile wanalalama anapiga kelele mtaani? halafu anaamuriwa apunguze sauti.
ila mimi adhana. saa 10 asubui zinapiga kelele.
zinaamsha hata sisi ambao hazituusu.
lakin hakmna anayekemea. ila ingekuwa wakristo ndiyo wanapigaga azana.
ungesikia wanapelekwa kwa pilato.
wanachafyua mazingizra.
hapo tene mtasem,a yerusalem mdini.
alakini mimi nadai usawa tu.
muslim ni rafiki sana. nawapenda.
ila lazima tuwe sawa.
mmoja asipendelewe kuliko mungine
naona sayansi ya mazingira imekupita kushoto!piriton kila siku? makelele isn't environmental polution?