Hahahah we mwanamke ww 😅😅😅una uhakika haujui tatizo?
Eeh ni life tu babbii!😂Aise kesho utupe mrejesho mkuu🤣🤣 wangu tangu ijumaa mpaka jpili ikifika saa mbili usiku simu inazima chaji🤣🤣🤣ila si ni life tu.
Kwa mpenzi wake mpya😅😅😅Mkuu hicho kiburi huyo mwanamke anakitoa wapi?
Kwani una mpango wa kuoa uyo? We kausha tu jilie vyako taratiiiibuLeo asubuh kani unblock na kuishia kusalimiana tu hakuna kuulizana kimetokea nini jana usiku

... Ila tafuta backup na ww acha ufalaAnajitoa ufahamu tu huyo...una uhakika haujui tatizo?
Basi leo nakutafuta tufanye lile jambo letu.Niko mjini hapa kulikoungua soko, wewe je?
Ondoa shaka kimwali 😍😍😍Basi leo nakutafuta tufanye lile jambo letu.
Ewaaaah!Ondoa shaka kimwali![]()
Ana kuona boyaLeo asubuh kani unblock na kuishia kusalimiana tu hakuna kuulizana kimetokea nini jana usiku