TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,807
Uzalendo wa nani?Umelala na kuamka uku ukiwaza utumbo tu!hebu tuambie huo uzalendo wake ni upi?
Mkuu soma uzi huu vizuri utaelewa alichokuwa ana maanisha mtoa uzi,hakuna mahali amesema Jpm mzalendo.Umelala na kuamka uku ukiwaza utumbo tu!hebu tuambie huo uzalendo wake ni upi?
Fikira za masaburi zilozojaa ulofa, ujinga na upumbavu mtupu!Mimi Pamoja na Kuwa Nilitaka na Niliona ni Lazima CCM iwekwe pembeni 2015 ili kupisha Mabadiliko ya kweli. Sikuwa miongoni mwa wendawazimu waliodhani Tanzania itakuwa Better of kama CCM ikifa. Niliamini na Ninaendelea Kuamini Kuwa CCM pamoja na Ufisadi wote, ilikuwa na Bado ina watu wengi Wazalendo.
Ni hao Ndio Ninaosema sasa lazima watakuwa wanajuta sana, Kuruhusu Magufuli kugombea kwa chama chao na Kuwa Rais wa Tanzania, na Mbaya zaidi Kumfanya Mwenyekiti wa CCM taifa.
Sababu za mimi Kusema hivyo? Magufuli anao uwezo Mmoja tu na kwa Maoni ni yangu Ni kipaji ambacho pia Watu wengi waliokuwa na autism utotoni wanakuwa navyo, Photographic memory! Kwa bahati mbaya tunadhani kipaji hiki ni Kiashiria cha Akili sana au Hekima, Very Wrong!
Magufuli hana uwezo wala Utashi wa Kuongoza watu kwa Kuwa hajali anamkanyaga nani, au juu ya nini Kufika atakako, ubaya ni Kuwa watu wa aina yake, Wanadhani ndio center ya gravity, na sayari zote zinatakiwa zimzunguke yeye.
Oh yea!YAAAANI MAFISADI NA WAPIGA MADILI KUBANWA IMEBAKIA MNAANDIKA MIWEWESEKO TU. TULIENI NA ZOEENI. MAGUFULI ATAWANYOSHA HADI MUHAMEEE.
Yaani kadri wanavyojaribu kumchagua Rais ndivyo wanavyozidi kumpaisha. Ngoja aendelee kuwanyoosha.YAAAANI MAFISADI NA WAPIGA MADILI KUBANWA IMEBAKIA MNAANDIKA MIWEWESEKO TU. TULIENI NA ZOEENI. MAGUFULI ATAWANYOSHA HADI MUHAMEEE.
Hajaelewa andiko lakoSoma tena sijamsifia mtu
Umesoma vizuri au umelala umeamka unafikiria kujibu tu post utakayokutana nayo?Huyo unaemsifia
Its only you! Lizaboni msugura makalio za Viongozi wapumbavu kwa maneno ya hadaa! What do u stand to gain? Nilidhani ni mtu significant! By the way Mimi sasa ndio najitayarisha kulala siko kwa mfuga mbwa kama wawe unayetumia Vijikalio vyako kulinda upumbavu kwa kukosa vyote power and knowledge. Unaasume kila Kitu, oh unaamka asubuhi! Mimi niko Across Atlantic wewe bwana mdogo Kunguni wewe! Unaleta vimatusi uchwara, Mimi Mtoto wa Mjini, na vilevile wa Kimataifa. Nimekaa na wahuni, Redneck u name it! Niko kwenye Contruction business kwenye wahuni wa wahuni Lizaboni unaamka na manini waliokumwagia akina nani wa ccm kwenye maninilii yako badala ya kwenda msalani ukanawe hiyo aibu, Lisaboni Kunguni wewe unataka matusi na mimi. The F..ck u too soft in my world go away Weasel.Ukiona mwanaume anaamka asubuhi asubuhi na hasira dhidi ya mwanaume mwenzake basi ujue kafanywa kitu mbaya na mwanaume mwingine usiku. Tabia hizi wanazo wanawake. Kama wakitendwa vibaya na mwanaume mmoja basi huwaona wanaume wote hawafai
Mkuu soma kwanza uzi vizuri, sidhani kama mtoa mada amemsifia mtu.Umelala na kuamka uku ukiwaza utumbo tu!hebu tuambie huo uzalendo wake ni upi?
Nenda kaoshe vyoo huko upate ugali!Its only you! Lizaboni msugura makalio za Viongozi wapumbavu kwa maneno ya hadaa! What do u stand to gain? Nilidhani ni mtu significant! By the way Mimi sasa ndio najitayarisha kulala siko kwa mfuga mbwa kama wawe unayetumia Vijikalio vyako kulinda upumbavu kwa kukosa vyote power and knowledge. Unaasume kila Kitu, oh unaamka asubuhi! Mimi niko Across Atlantic wewe bwana mdogo Kunguni wewe!
Ukiona mwanaume anaamka asubuhi asubuhi na hasira dhidi ya mwanaume mwenzake basi ujue kafanywa kitu mbaya na mwanaume mwingine usiku. Tabia hizi wanazo wanawake. Kama wakitendwa vibaya na mwanaume mmoja basi huwaona wanaume wote hawafai