Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,751
- 15,545
Watanzania ifike sehemu Tupunguze unafiki tukiamua kupenda unafiki basi tukomae nao bila kuficha,
Na tukiamua kuacha unafiki Tuache bila kuficha...
Kiwango kikubwa hicho cha unafiki huwenda kikageuzwa na Neema(Grace) kuwa baraka.
Tuelewe kwanza, biblia haifundishi kuwa Dini ndio kigezo cha kupendwa na Mungu na kwenda mbinguni..
Dini ni Talatibu fulani za watu fulani katika masha, kuna dini nzuri na mbaya dini hizi ni nyingi lakini zote zina talatibu ambazo mwanadamu hufikiri zinaweza kuwa njia ya kuwa Mtu Afaaye.
Hapa biblia inatupa mfano wa kanuni za Dini ambayo ni safi mbele za Mungu ni ile yenye taratibu zifuatazo...
Yakobo 1:27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Kuna Dini mbili maarufu huku kwetu ni
Dini ya Kiyahudi
Dini ya kiislamu
Ukristo sio dini, Mkristo ni mfuasi wa Yesu Kristo (Yani Yesu mpakwa Mafuta)
Sasa walio wengi hawaelewi Dini (Religion) ni nini na ina umuhimu gani ?
Dini inakukataza baadhi ya vitu kufanya, na kukulazimasha kufanya baadhi ya vitu, dini inatumika sana endapo Wanadamu wamemkosa Mungu kumsikia na kujua anataka nini.
Basi wanazama katika Shimo baya kabisa la Udini.
Ety Kuiba ni dhambi, au kunyang'anya na unasahau alichokifanya Yakobo kwa kaka yake Esau, Kuiba baraka na Cheti cha uzaliwa wa Kwanza, Je uliwahi kutegemea Baraka nazo huibiwa ? na Mungu akawa upande wa Mwizi.
Kulikua na Sheria ya Kutahiri (Jando) kwa Wayahudi,
Je utasahau kuwa Petro aliambiwa kutahiriwa au kuto kitahiriwa si kitu ?
Kam unafikiri Kuuwa ni Dhambi ya Kumchukiza Mungu, Je Upanga wa Mfalme daudi uliuwa watu wa ngapi ??
Utasahau Kuhani aliyebarikiwa kwa kuwauwa watu waabudu miungu kwa makali ya upanga na Mungu akampatia zawadi kuhani huyo ???
Umesahau Nabii Eliya alichowafanya manabii wa bahali,
Kwanini Leo wana wa Mungu mmekuwa wanyonge na wahoga kiasi kwamba mnaona kuwa hata Kuandamani ni dhambi, kudai haki yako kwa Nguvu ni dhambi,
Ukisema siasa hazikuhusu wewe ni mpumbavuu, maisha yote ni siasa au (Ufalme kwa Lugha ta biblia)
Unasoma ufalme kwenye Biblia alafu unakataa kufatilia siasa ety sio lazima na Dini haikutumi hivo utakua mjinga hadi hivo hadi lini ?
Niseme Dini ni Janga baya sana, Viongozi wa Makanisa wamejaaaa unafiki,
maneno yote ujione mkosaji ukatoe fungu la kumi, Je unajua kuwa Fungu la Kumi ni kwa Mazao ya Ardhi uliyopewa na Na Mungu wako kama urithi,
Haya umepata ajira ya diploma au degree then mshahara wako unaenda kutoa fungu la Kumi na tozo juu, unatawaliwa na Dini unatawaliwa na Raisi kote unakatwa.. kwa Ardhi ipi uliyopewa kama urithi, mtumwa nae anatoa fungu la kumi ???
Kanisa limedanganya watu kupitia mgongo wa Dini hadi tumekua mazezeta kulia kuomba mafanikio kanisani, wakati mnajua mfumo wa utawala ni mbovu..??
Usiije ukafikiri Mungu ataweza kukupa mafaniki9 ndani ya Nchi yenye utawala mbovu, Utafuga kuku tutakuja kukuibia 😁😂
Hizi hizi dini zinawapa maneno ya busara lakini hamuoni, Ety hadi leo baba Anasomesha mtoto Aje akomboe familia na umasikini ???
Mithali 13:22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.
Mtoto asie na Ardhi ndio aje afute umasikini wa baba yake mwenye ardhi au asie na Ardhi ?? How ?? kwa elimu hii isio na tija
Na bado mtu ety Anawaza akipata mshahara atakwenda kutoa fungu la kumi kwa hiari kisa Dini inaagiza 😁😂 ni kudanganywa na kuibiwa.
Katiba hii mbovu inatoa uhalali wa sisi kuuzwa na kuwa watumwa.