Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
Fedha fedheaaaa kaka!!
Futa kutumia neno "haka katoto"
put "haka mwanamke"
Ngoja nikipe somo afu naki blackmail
wee mwenyewe una miaka mingapi?
Meseji inasema "naamini bustani yangu imepaliliwa sitaki magugu nataka niweke mbegu bora" Hasa nikafanyeje haka katotoFUTA HIYO MSG HALAFU, ADD TO BLACKLIST NAMBA ILOTUMA UJUMBE HUO THEN DELETE FROM PHONEBOOK.
Nawewe utampigaje mzinga na ushakaona katoto! Thats y kanakua big headed, eti kalishawahi kukupandishia and she's 15 yrs duuuh,. Wewe mtu mzima unakosa hata buku9 ya star times lakini hako unakokaona katoto kanajiunga bbm buku20000 kila mwezi, hehehehehe mkubwa mwenzio huyooo
Kuonekana mnoko kitugan banaa.
Kakalishe chini kaambie "dunia imevaa sket"
asipokuelewa 2mia hata kiboko.