Huu ukumambuzi ndio ningefanyiwa mimi na ubabe wangu ningemsaka aliyenifanyia umafia na mtandao wao wote ningemwaga mbonga na ugali bila kumuonea mtu haya, ni kufa na kupona kulinda hadhi yangu. Sitakubali kudhalilishwa kindezi namna hiyo kisa madaraka, namwaga siri zote mbaya kuwaaibisha wabaya wangu walionitegea mitego