kama mzunguko wake ni siku 21 basi inawezekana, we muulize
Jirani Fidel wasichana wa siku hizi wanaangalia financia stability ya mtu halafu unabwagiwa mzigo,Inawezekana ana kaserengeti boys kake somewhere kamempa ujauzito anakuletea wawe umsaidie serengeti wake kuitoa,pia inawezekana hana mimba hivyo anakubambikia kwani lazima utampa hela ya kwenda kuutoa huo ujauzito,so take care jirani,mjini hapa!!!
Naombeni ushauri wakuu kuna kitu kinanitatiza kidogo.
Kuna binti iwa najimegea muda mrefu mara baada ya kupima tukaamua kutundika sox hewani na kuanza kumega kavu.
Kuna siku ilitakiwa tukutane bahati mbaya akawa kwenye hedhi tukasibili iishe baada ya kuisha siku ya 4 ya 5 tukakutana nikamega kama kawa.
Sasa imepita miezi 2 sijamega leo hii ananiambia ana mimba yangu.
Je wataalamu ni kweli anaweza pata ujauzito baada ya kutoka kwenye hedhi kukata siku ya 4 na siku ya 5 nikakutana nae wkt wataalamu mnadai siku ya hatari ni ya 13,14 na 15 sasa huyu binti kweli kapata ujauzito au ndo kigezo cha kujipatia za matumizi?? za ziada?
Naombeni ushauri wenu.
Cha msingi Fidel80, subiri kachanga ketu kazaliwe halafu wahini pale kwa mkemia mkuu kwa DNA!!! Siku hizi pesa yako tu, kila kitu kipo!!! na inatoa madukuduku mengi.
Unajua mkuu mpaka kachanga kazaliwe nitakuwa nimesha ingia hasara kubwa tu maana ilitokea sehemu jamaa kahudumia mtoto mpaka miaka 7 alafu mama akaja kumchukua na kusema mtoto wa mme mwingine dah ndo hapo sasa.