Naambiwa ana mimba yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naambiwa ana mimba yangu

Discussion in 'JF Doctor' started by Fidel80, Sep 9, 2009.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Naombeni ushauri wakuu kuna kitu kinanitatiza kidogo.
  Kuna binti iwa najimegea muda mrefu mara baada ya kupima tukaamua kutundika sox hewani na kuanza kumega kavu.
  Kuna siku ilitakiwa tukutane bahati mbaya akawa kwenye hedhi tukasibili iishe baada ya kuisha siku ya 4 ya 5 tukakutana nikamega kama kawa.
  Sasa imepita miezi 2 sijamega leo hii ananiambia ana mimba yangu.
  Je wataalamu ni kweli anaweza pata ujauzito baada ya kutoka kwenye hedhi kukata siku ya 4 na siku ya 5 nikakutana nae wkt wataalamu mnadai siku ya hatari ni ya 13,14 na 15 sasa huyu binti kweli kapata ujauzito au ndo kigezo cha kujipatia za matumizi?? za ziada?
  Naombeni ushauri wenu.
   
 2. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2009
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kaka ni hatari kuendesha gari bila leseni
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  shemeji kakusingizia huyo!
  usikubali
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yaani kakomaa kama anafikiri Biology haikwei mmh!
  Nimemwambia awe makini atakuwa alichanganya madesa.
   
 5. M

  MABOKO CHARLES New Member

  #5
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama mzunguko wake ni siku 21 basi inawezekana, we muulize
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mazee sasa mlivyokuwa mnakula bila kunawa mlikuwa mntarajia nini? Hayo ndo matunda ya shughuli yenu, ebo!
   
 7. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jirani Fidel pole sana,wasichana wa siku hizi wanaangalia Financial stability ya mtu halafu unabwagiwa mzigo,Inawezekana ana kaserengeti boys kake somewhere kamempa ujauzito anakuletea wawe umsaidie serengeti wake kuitoa,pia inawezekana hana mimba hivyo anakubambikia kwani lazima utampa hela ya kwenda kuutoa huo ujauzito,so take care jirani,mjini hapa!!!
   
  Last edited: Sep 9, 2009
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Pia yawezekana ana tatizo la double ovulation kwa baadhi ya miezi. Cha msingi Fidel80, subiri kachanga ketu kazaliwe halafu wahini pale kwa mkemia mkuu kwa DNA!!! Siku hizi pesa yako tu, kila kitu kipo!!! na inatoa madukuduku mengi.
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah mimi nimepata funzo toka kwa yule wa kulitachi eti 70,000/= kwa wiki sasa nimepata funzo ndo maana nikaja kuomba mawazo kwenu unajua yeye anaelewa mm kipofu sijui kitu ananiambia badala ya kumshauri nini kifanyike mimi namponda.
   
 10. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mkuu,
  Mimi sio mtaalamu wa Biology lakini kuna jamaa yangu naye ilimtokea exactly what you say Fidel. Na mtoto akazaliwa na hamna doubts, mtoto alikuwa wa kwake. Nami biology yangu hapo ilishindwa kuelewa hii inakuwaje. Naomba wataalamu waje.

  Nakushauri usi-mmwage kwanza kabla hujajua kiundani. Inawezekana ni yako kabisa na ilipatikana the same day with all situations mentioned. Besides, mtoto ni mtoto tu just take it usimfrustrate kwa sasa kama yuko kwenye hali hiyo. Kama una wasiwasi subiri mtunze mtoto akue uende ukacheki vinasaba (DNA).

  Ni ushauri tu though.
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mpwa umenisikitisha sana! umeuza mechi kizembe sana, shukuru amekuambia ana mimba yako, hebu fikiria angekuambia anaUKIMWI wako hahahah pangetosha kweli hapa!. Kuwa makini usiuze mechi kwa mdada usiye na future naye hata kidogo kuna risk mingi sana.....

  Inawezekana kabisa kuwa ni mimba yako kwasababu nyingi tu, kuna wanawake siku zao hubadilika ghafla, labda siku hiyo ilikuwa ndiyo ya ovulation, lazima hapo mtatengeneza kafetus! zygote ....mimba...subiria azaliwe mfanye parenting test. Jiandae kwa yote mtoto anaweza kuwa wako mazee...lakini na wewe wakati mna-du siulikisia utamu na hukuwa na kinga....leo kwanini unaruka mimba! Ndo matokeo yake hayo...ungevaa kinga mbili demu angetafuta pakutokea,

  Next time do not forget ur condoms
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unajua mkuu mpaka kachanga kazaliwe nitakuwa nimesha ingia hasara kubwa tu maana ilitokea sehemu jamaa kahudumia mtoto mpaka miaka 7 alafu mama akaja kumchukua na kusema mtoto wa mme mwingine dah ndo hapo sasa.
   
 13. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  We fidel acha ulimbukeni baba,kwanza badilisha kauli yako kuwa ulikuwa unammega,sema tulikuwa tunamegana,ok?sasa ulipotupa sx pembeni unatarajia nini?ulitaka mimba,hata kama ni HIV ungepata pia,so we kama mnapendana mumemegana all that time huna haja ya kuwa na wasiwasi nae,just go on kumegana azae mulee!wewe una mfumo dume yaelekea muzee!! just change!!
   
 14. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,808
  Likes Received: 2,500
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo unataka umpe hela akatoe au unataka umtose?
  Jamani usimtose kama story hii ni ya kweli lakini kama ni kwa ajili ya kukusanya maoni kama biology hiyo ipo ok unaweza sema hivyo.

  mi naona urgument yako ni yakutaka kumtosa plz?if at all unamfeel kwa sababau humpendi kama ungekuwa unampenda ungefurahia kumpa ujauzito na yeye kupata mimba kwa kuwa wote mungu kawajalia uzazi.Hivyo shemeji yangu ebu mtunze mrembo huyo ili awe mke mwena na akuletetee mtoto mzuri asiye na frustrations za mawazo.
   
 15. M

  Malila JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Chonde usimfanye kitu mbaya huyo binti,msaidie ajifungue salama,tunza mtoto mpaka akiwa mkubwa.Kama si wako basi,usijeshangaa anakuja kuwa Obama fulani kule Njombe, teheeeeeee
   
 16. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Kapime na ukimwi kwanza, manake kupima mara moja haitoshi. Majibu pia yatasema manake mapambano dhidi ya ukimwi africa ni bure kama mambo yenyewe ndio haya ukimwi ulimwamini mimba no!
   
 17. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mdogo wangu Fidel80 kwani wasi wasi wako ni nini?Huwa huzai?Kama hujawahi kuzaa basi shangilia kuwa umezaa. Mh. JK alisema kila mla...Huliwa,sasa pokea mzigo hata kama sio wako, msaidie kwani si ulikuwa unamega kila siku?Kumsaidia mwenzio kutunza ina ubaya gani?
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Next time mpwa

  [​IMG]
   
 19. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #19
  Sep 9, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mlifanya tendo la ndoa bila kinga na huwa hii mizunguko inabadilika badilika, ujue hiyo ni mimba yako..Usiwe na mawazo mabaya juu ya issue hii mana DNA ipo na utajua kuwa wewe ndo baba au la!..Vinginevyo usikwepe majukumu mkuu!
   
 20. T

  Tom Lyimo Member

  #20
  Sep 9, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo anakudanganya ili umpe pesa ya abortion apate mtaji so take care!
   
Loading...