Kwani unafikiri unambadilisha mtu?
Unayabadilisha maisha yako mwenyewe,
unajikomoa mwenyewe wala humkomoi mtu,
mtu anayeishi maisha kumkomoa ama kumplease fulani anakua ana Tatizo fulani upstair,
mungu ahsante umenipa moyo wa mapenz ya dhati. lakin napenda wasiohitaji kupendwa wanataka kudanganywa. sasa nimeamua kuwa nawapenzi watatu kila mmoja namuambia yeye nimchepuko akishindwa kunifariji nampiga chini. hahaaaa
Nimegundua mara nyingi tunapenda tusipopendwa. Wale wanaotupendwa ukweli hatuwataki na wale tunaowapenda hawatupendi. Basi ni shiiida.
The best way ni ingia kwenye mahusiano na mwanaume anayekupenda, hili ni jambo la muhimu sana. Hata kama ana sura kama sokwe its better. Uta enjoy life badala ya kuwa na michepuko 3 ni kujichosha.