<br>acha na nanihii kabisanachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu aka pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....<br>pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....<br>kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....
Nachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu AKA pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....
Pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....
kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....

Nashukuru sasa wapiga mizinga wanapungua....ooohh Mchungaji nina hangover nisaidie za supu hakuna.....good decision thou