NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,250
"The 3rd Annual Ostrich Derby"
Mkuu asante, wewe nakuaminia sanaNew Jersey, June 21, 2014.
MatukioKwa nini mkuu
Kumbe ndio hivi mkuu, hawana ujanja wa kutafuta habari au matukio hadi wabandue na kubandika kwao.Pamoja sana unajua kuna matukio yanatokea sana Duniani tunajitaidi jamii ya watu wa JF wayafahamu tatizo mablog wanatuibia sana mambo yetu tunayoyaweka humu.