Akatuachia na usemi na inabidi tu tumuenzi maana hakuna namna nyingineMzee sikua na maana ya babu ila mzee usemi tu ,hata hivyo sidhani kama kuna mzee anayeweza shabikia wengine wapigwe tu ukimtoa Mizengo Pinda
Wapigwe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana hakuna namna nyingineMizengwe Punda
"Na wapigwe tu"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mungu anatulindaM/nyamala hiyo...Makapuku tumezaliwa pale kwa mbinde
du...hii mimba au boga!
Kwa mtindo huu wauguzi & maDR wataendelea kula vichapo km vya akina Mayweather maana hamna namna!!!
Halafu sijamsikia muda sanaaa
Mizengwe Kayaanza Pitia Punda
Former PM
"Na wapigwe tu" founder
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
bogaPredict & win
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa ni jembe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo Rukwa anapalilia mipapai
Sipati picha alivyo kwa sasaNdo ivo na kuchunga ng'ombe
[emoji23] [emoji23] hata muhimbili kuna upande una manesi wa dizain hiyo
Kwa mtindo huu wauguzi & maDR wataendelea kula vichapo km vya akina Mayweather maana hamna namna!!!
Labda bwana Magu alivyowashtukiza hivi majuz ndo wamebadilika..... Inabidi afanye ziara sasa na mwananyamalaHeri ya M/2 kuliko M/nyamala ni noma utafikiri wamepewa mafunzo maalumu ya kutokomeza kizazi cha Makapuku