Na wapigwe tu !!

Vichapo kwa wauguzi wa kike ni lazima wana midomo sana ila wa kiume hapana
 
Vichapo kwa wauguzi wa kike ni lazima wana midomo sana ila wa kiume hapana
Maneno ya shombo km shimo la choo.....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hii inaumiza sana,mothers and their infants lose their lives kwa selfish reasons kama hizi. Utu hakuna kabisa
 
Kichapo haki yao.. Hawa walikuwa wanajifanya miungu watu....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…