jayleoncy112
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 164
- 73
HELP ME GUYS
Serial namba ya modem unayomamb vip wadau
nimeamia pori network inasumbua naomba kuelekezwa jinsi ya kuifanya moderm itumie line zote mfn halotel na nyinginezo
nzuri hii na vipi kuhusu simu piaModem inatumia tigo?? Itupe ina tabia mbaya.
On a serious note.
Taja aina ya modem na imei yake. Kwa uzoefu wangu ni rahisi sana ku-unlock zte modems online kushinda Huawei.
Ila kwakua hatuaminiani usitaje, nenda google search aina ya modem yako mfano "zte modem unlocker"
Ikija option ingia, aghalabu utakuta sehemu unaambiwa ingiza imei yako ili upewe passcodes za modem yako, utaingiza imei kisha utagewa hizo passcodes.
Utaweka laini ambayo haikutengenezwa kwa ajili ya huo mtandao, mfano utaweka ya Voda au Airtel, itakudai passcodes utaingiza zile ulizogewa, basi utakua umetatua tatizo.
Zingine siyo lazima uweke laini ya tofauti, kutegemea na aina ya modem.
Simu ni mara chache kua free, hua inahitajika kulipia na mara zote gharama yake ni kubwa kuliko ukipeleka kwa fundi simu akaitoa au akaiflash, plus kwa fundi simu yako utaondoka nayo.
uzi gani mkuu nielekezeKuna mutu umu ana fanya iyo mavitu, tafuta uzi wake utampata,
uzi gani mkuu nielekeze