Vodka
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 906
- 96
Siku moja mchaga alikwenda soko la mbuzi,vingunguti na kununua mbuzi. Kabla ya kumchinja mbuzi yule kabla ya kitoweo,akamuachia maagizo mchinjaji na mpishi;
"Ukisha mchija kwanya damu tengeneza kisurio,Nyama nusu ipikie pilau na nyingine itie kwenye jokofu,kichwa kichemshe tupate supu na miguu miguu tengeneza mchuzi chukuchuku.Ngozi usiitupe tutafanya msala kwani Tarimo anaitaka kununua ili kutowa posa si unajua anataka kuoa huko Tanga..Utumbo usafishe na utunze kwa ajili ya kupikia ndizi jioni na mifupa itakayo patikana pia.Na hakikisha baada ya kula mifupa tutawauzia wenye mbwa,kinyesi kihifadhi kwani tumejipatia mbolea ya bustani". Mpishi naye akauliza ".Hutaki na sauti ya mbuzi tuifanye 'ring tone' kwenye simu yako?" Jamaa akajibu "Sikujua kama unaakili namna hiyo massawe,fanya ivyo basi".