Si kila aliyebadilika rangi amejichubua jamani. Nina rafiki yangu ana fungus zinamsumbua miaka, Aga Khan wamempa midawa hiyo ukimuangalia maeneo yote ambayo anafunikwa na nguo ni mweupe pyee na maeneo yanayokuwa wazi wakati mwingi ni mweusi mweusi hususan kwenye viganja