Huu ni moja kati ya misemo niyayoipenda sana, huu msemo ukiufikiria sana una maana sana na unakwenda mbali sana, kila niusikiapo basi hata kama mtu alinikosea vipi huwa unanilainisha kabisa na kusamehe!
Hahah nikweli kabisa hata uwe mbishi vipi mtu akiapia na kutaja jina la Mungu hua unalainika tu. Kuapia sio kitu rahisi ths shw us How God is Great the almighty