Na mshtakiwa alikuwa mnyalu

Walipelekwa kutengenezwa supu
 
Mkuu huyu mtani wangu siwezi kumtetea maana hata wangu alipopotea mifupa niliikuta kwake
 
Hahahahaaa hicho kilikuwa kidhibiti tosha

Sikutaka kumshtaki maana badala ya kujibu kesi angejiua mkuu, si unawajua walivyo hata hivyo nimefanikiwa kuwaombea siku hizi hawajiui sana
 
mshana jr, hao mbuzi makucha wamauawa wapi nikajipatie japo kongoro?
 
Nifanyieni mpango nakala moja nisome habari kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…